2 Chronicles 36:15

Kuanguka Kwa Yerusalemu

(2 Wafalme 25:1-21; Yeremia 52:3-11)

15 a Bwana, Mungu wa baba zao, akawapelekea neno kupitia wajumbe wake tena na tena, kwa sababu alikuwa anawahurumia watu wake pamoja na mahali pa maskani yake.
Copyright information for SwhNEN